Umemkalisha vizuri sana.Hapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii
Hizi picha zako ni mbaya.Hii ni Samsung note8View attachment 2114835
Mkuu note 8 camera ni mbaya?Wewe utamkimbiza ajitukane bure. Wewe sio wa kufanya ligi na Note 8
Sio camera ya kulinganisha na Pixel 6. Siwezi kuiweka kwenye list ya camera nzuriMkuu note 8 camera ni mbaya?
Ukiupload picha kwa kutumia app ya JF zinapungua size. Ukitumia Browser zinakuja na size yake.Hizi picha zako ni mbaya.
Hata ukiangalia pic size, inaonesha wazi haijabeba details za kutosha.
Hio imepigwa saa mbili usiku sio mchanaKwahiyo hapa unaona bonge la picha?
ukweli unauma i phone wanauza jina
Kwamba hio Iphone 13 ili picha zitoke vizuri inatakiwa ifanyiwe setting?Nina picha za iPhone 13
Weee ile ni simu afu simu tena, mchawi setting nakwambia.
Mkuu umeweka gazeti picha ipo wapi ya hio Iphone 13?Wee jamaa kumbe mshamba sana...Iphone haikaguliwi kwa kuvua cava wewe!
Baada ya kuvua cava uliona inachapa kwamba ni iphone 13?
Halafu kutumia kigezo kwamba huyo yuko vizuri kiuchumi hakuwezi kuprove kwamba atanunua kitu genuine, ishu ana ujuzi wa kutambua kwamba kitu flani ni Og ama la!
Yupo dada mmoja alikuw anahitaji kununua sumsung S9 wakati zinatoka, so kwa sababu hakuwa anazijua kiundani akaingia dukani wakamshikisha famba bila kujua kwa kulipia bei sawa na Og, tukafuatilia aliyemshikisha akarudisha mpunga!
Sasa kwa hizo Iphone 13 wapo wadada humu mtaani wanazo na wanajiweza kiuchumi ila walishikishwa mafamba na wajanja kwa kuwa wengi hawajui kukakugua specifications kama ulivyo wewe ambaye unatoa cava.
Oppo kwenye suala la Camera ni habari nyingine kabisa..wekeni picha acheni ubishi,na mimi nitaweka ya mchina wangu,ya OPPO FIND X3 PRO...kama sijawatoa wote knockout,,,
View attachment 2114311
Simu ilikua ni ya watu..tena mke wa mtu ataipataje picha sasa..? Soma vizuri..kwaio unatumia iphone 7 🤣🤣🤣🤣Mkuu kwani tumekuja kupima iPhone yangu na simu yako!? Unadai iPhone 13 na note 8 yako ndo kipimo ulichotumia weka picha za hizo simu zote watu waamue, isitoshe mi iPhone yangu ni 7 na ni old fashioned kwenye suala la camera siwezi hata kuja hapa nikasema nina simu yenye camera kali
Ndo aache sasa kuja kupondea kitu alichofanya bias kwakeSimu ilikua ni ya watu..tena mke wa mtu ataipataje picha sasa..? Soma vizuri..kwaio unatumia iphone 7 🤣🤣🤣🤣
It depends na mtumiaji, yes.Kwamba hio Iphone 13 ili picha zitoke vizuri inatakiwa ifanyiwe setting?
Bionic processor iliyo kwenye iphone 13 ndo the best processor according to majority benchmarks.Sio kweli.