Hizo ndio donor country sasa.
Sure , Kwa Faida ya laki mbili kila simu ukiuza unit mil 20 unakuwa na tril 4 profit. Sasa imagine iPhone 6 jamaa waliuza zaidi ya 200 mil. Kampuni kama hii ikiwa nchini kwako lazima utambe sana
Sisi wacha tuendelee kuchimba dhahabu na kulima mahindi na alizeti.