Iphone 12 Imevunja record ya Mauzo (Sold out)

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,211
39,034
October 13, apple waliachia iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 iphone11 simu 800k zilikua ordered.

Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes imetabiri iphone watauza zaid ya iphone 80million. Iphone12 inategemea kuvunja record ya iphone6 kutokana na kuwa na demand kubwa ya simu hiyo, na mauzo yake yatavunja record.
View attachment 1609751
 
October 13, apple waliitoa iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 simu 800k zilikua ordered.

Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes imetabiri iphone watauza zaid ya iphone 80million. Iphone12 inategemea kuvunja record ya iphone6 kutokana na kuwa na demand kubwa ya simu hiyo, na mauzo yake yatavunja record.
tunaomba Link source
 
October 13, apple waliachia iphone 12series ambapo mpaka sasa iphone 12 sold out, manake ndani ya 24hours zaidi ya simu Million 2 zilikua ordered. Order hzo ni zaid ya mara mbili ya iphone 11 ambapo ndani ya saa24 iphone11 simu 800k zilikua ordered.

Mpaka mwsho wa mwaka huu ripoti ya digitimes imetabiri iphone watauza zaid ya iphone 80million. Iphone12 inategemea kuvunja record ya iphone6 kutokana na kuwa na demand kubwa ya simu hiyo, na mauzo yake yatavunja record.
View attachment 1609751

12 ni well balanced smartphone ila Record ya iPhone 6 &6+ si mchezo kuivunja . Mpaka sasa ndo inashikiria record ya the most sold smartphone of all time..
 
Back
Top Bottom