Ipeni maneno picha hii

Ipeni maneno picha hii

japo wanaomba lakini wameshikana kimkakati zaidi.........abiria chunga mzigo wako usimsubiri Mungu
 
Inapendeza kuona mkuu wa kaya akizamia katika maombi,Mungu wetu mwema aendelee kumpa hofu na unyenyekevu,kuwa rais na kumwabudu Mungu aliye hai inapendeza,barikiwa sana mh rais
Ingependeza zaidi kama pia angeiachia democracy ifuate mkondo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom