Ipe neno picha ya asubuhi

Ipe neno picha ya asubuhi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
IPE NENO PICHA YA ASUBUHI.jpg
 
Mweeh! Utashi huu karibuni tutapata genes ya Kangaroo
 
Duuh! Mbona hatari hiyo.

Bora hata angekaweka chini kakawa kanacheza kuliko kukaning'iniza kiasi hicho. Sababu haijulikani bando / chaji vitaisha saa ngapi.
 
Hebu kaa kwanza mfukoni, niwasiliane na baba yako atume hela ya maziwa
 
Bora hata aliyemuweka mfukoni kuliko anayemfunga kamba mguuni eti asifanye utundu.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom