Ipe neno hii picha

Ipe neno hii picha

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
Mmmmh, huyu jamaa naona kama simuelewi elewi vile... Au ni macho yangu?

Nape-Nnauye.jpg
 
Hiki kichwa changu kimejaa pumba tupu na nitazitumia daima kudefend chama cha ma.....
 
hapo je nang'aa au niongeze karolite kidogo?
 
Im so handsome wananchi wakiniona na sura yangu tu wanajiachia wenyewe kunifagilia na mimi naanza kushusha pumba zangu, nitauongezea urembo zaidi kabla ya 2015.
 
hapa carolite sijui inanitoa, au niiache nitumie magadi!
 
549581_178077792324870_2045084786_n.jpg


Hata Nape anajua CCM haina manufaa yoyote kwa watanzania tena!!!!
 
jiiiiiiiiii...........*gazi tu!!hamna mtu wala kitu hapo!!
 
Strategy ya kujivua gamba imeshindwa, tumeleta ya udini nayo inaonekana kushindwa, sijui nianzishe ipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom