Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,935
- 1,006
Mbona kila nikipiga mkorogo haukubali? wenzangu sijui wanafanyaje yaani!
Hajawahi kuujaribu huo, kama angekuwa ameujaribu ngozi yake ingekuwa na mabakamabaka aka rangi ya aspirin.
Kwa hilo la kutotumia mkorogo nampa hongera!!