Ipe neno hii picha, anawaza nini?

Ipe neno hii picha, anawaza nini?

ana+makinda.jpg

Najuta Kuwapendelea mfisadi,hata kwetu Njombe wamenichukia,ntakuwa mgeni wa nani miee inhii hiii hiii h iiiiiiiiiiii.
 
Hivi ndivyo vile vidole vyenye rangi nyekundu nilivyokuwa nikiwaambia kila siku, kwamba kuna siku mtaviona. sasa mnashuhudia laivu. muuza urembo next time paka vidole hivi rangi ya udhurungi ili imsadie spika kupambanue kanuni za bunge kwa ufasaha na pia imuondolea jazba na utetezi wa chama gamba usio na tija..... amen
 
Hana wasi wasi na wakereketwa, anaendelea na gym na siku mkifunga lango mjengoni kitaeleweka.
 
Wabunge wananionea kwa vile mimi ni spika mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom