MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,061
- 6,395
Haya si maigizo wala photoshop..,
Hivi karibuni mtemi huyu alikuwa akifanya ziara nchini mwake na alipofika sehemu fulani aliamua kuusimamisha msafara wake, kushuka na kuchukua kiti chake na kukaa pembeni ya barabara ili kupokea simu aliyokuwa akipigiwa...
Alizungumza kwa simu hiyo kwa dakika kadhaa huku akiwapungia mkono wanakijiji na watu waliokuwa wakipita na kushangaa wasiamini kilichokuwa kinaendelea...