Ipe maneno Picha yangu

Ipe maneno Picha yangu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
1796447_838429046186748_281727709_n.jpg


Mtoto aliye lalia Pesa ni mtoto wa Mwanasiasa . Na huyo Mtoto aliyelala hapo chini ni Mtoto wa mpiga kura kazi kweli ipo hapoo.
 
Naona pia kama siasa na utajiri vinawakilisha wazungu na kupiga kura na umasikini vinawakilisha uafirika!
 
Sidhani kama CCM ni wauaji, tatizo ni wananchi wenyewe MAMBURULA!? ni sisi wenyewe ndio tuliowapa dhamana kwa kulaghaiwa kama watoto. Mwache huyo mtoto alale chini mpaka apate TB, may be one can learn a lesson of this languishing state!
 
Mi naona huyo dogo wa chini atakuja kuwa jembe na mpiganaji kuliko huyo aliyevikuta.
Mean: atakae notice advancement ya from poor to better one huyo ndo ataprove context ya what is development!
Hilo dogo la juu litakuwa mchelemchele na kutafuniwa kwingiii!
 
Na hapa naahidi mbele ya chama,,, mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa.

Tulikuwa **(tusi) sana aisee.
 
Back
Top Bottom