Ipe maneno picha hii

Mzee Msuya hapo anampiga ngeli kwa kipare
MsuyaπŸ˜›inda nikini mhira.....?
Pinda:Mzee sikuelewi
Msuya:Hacha icho ni chenyu avae....
 
Sikiliza bwa mdogo Rais wako hamna kitu mule, Chama amekiua na mafisadi wamewashinda kabisaa, sisi enzi zetu chini ya uongozi wa mwalimu miaka ile 80 wakati ule Marehemu Sokoine Waziri mkuu, kwa kutumia sheria ya uhujumu uchumi tuliwafyeka woote!!. Sasa mdogo wangu na wewe kweli unajiita Waziri mkuu? hebu jaribuni kuwa serious wananchi wawaelewe, mimi leo nitawapa live wote siogopi mtu na mtajuta kunialika oohooo...
 
Inakuwaje wote mlikwenda kupata kikombe cha babu...!!!wote mnaumwa?????
 

Yaani mmenisahau kabisa ki maslahi - mnakula peke yenu Jamani tukumbukane, nimeitumikia nchi hii miaka zaidi ya 30 wadogo zangu. Na hili la semina tumeshamaliza wananchi wataelewa kwamba CCM tupo serious, yote haya yamekuja muda muafaka wa kujivua magamba. CHADEMA isiwatishe sana.

Kuhusu MaPacha 3, Mwenyekiti hili naona lako hili, nakuachia wewe.... ha ha ha ( Vicheko wote).
 
hivi kweli maisha ya tanzania mbn yamekuwa magumu mnafanya nn madarakani si enz zetu maisha yalikuwa saf wananchi walipeta sana sio kipndi chenu dogo legezen
 
Mambo yanavyoonekana na nchi inakoelekea na maisha ya watanzania yanavyoendelea kuwa ya ufukara ni wazi ipo siku wanyonge watochoshwa na kuamua kutafuta haki yao.hivi kwanini watanzania wamo kwenywe lindi la imaskini uliokithiri?hakuna maadili wala utashi
 
Kambale ni kambale wote wanaitwa kambale,mkubwa mdogo wote wana shurubu au ndevu,wote wanalindiana siri,mmoja alipokea kwa Sokoine na inasemekana ni mmoja kati ya waliomnanihii Sokoine,mwingine kwa Lowasa inasemekana walihusika kumshusha mzee wa jazba pale juu,kwa maana hiyo wote sawa.kuanzia kichwa hadi miguu.hata matendo yao sawa.:mod:
 

Kama ulikuwepo vile hahahaha!!
 
Unasikia Pinda mara ya kwanza watu walidhani unaweza kufanya kazi vizuri kumbe na wewe bure kabisa...jirekebishe watu hawa sasa wameamka watawatia aibu nyie loh
 
cm; sasa unajua nitakacho fanya
mp; sijaelewa mkuu
cm; kama mtaweza kuwaondoa mafisadi, nipigie debe mimi nafasi ya urahisi 2015
mp;( Mh), anacheka moyoni
 
Hivi huku chini kako kuna nini? Naona kama vile hakili zenu zimehamia huko?
 
kwa dr slaa nnavyomfahamu hamna rangi mtaacha kuona.[/quote]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…