Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni akipambana kubaki katika kiti cha urais. Je yapi matarajio yako kwa uchaguzi huo wakati huu muda ukiyoyoma?