Ipe maneno hii picha

Ipe maneno hii picha

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Si rahisi kujua ni nini Mbowe alikuwa akisema hapa na ku-create mazingira ya jirani yake kuwa na sura hiyo. Kikao kilikuwa ni kuandaa ratiba ya mazishi ya mpiganaji wetu marehemu Mtema. Weka maneno katika picha....karibu.

IMG_8654.JPG
 
acha kurudia uzi wewe,,pitia za jana watu walishaweka hii
 
Kulikoni tena bi kroboto anapothubu kucheka huku anazima hoja za msingi kwa wTz bungeni
 
Back
Top Bottom