Ipe maneno hii picha ya Huyu "kioo cha jamii"

Ipe maneno hii picha ya Huyu "kioo cha jamii"

her milk shake brings all boys to the thread...
 
huyu dada ni mzuri hasa

ila anavyobust hayo maziwa na hizo makeup(makedown
ndo zinazomuharibu
ila ni kazuri sana ana sura nzur
 
Huyo mdada inaonyesha hayo maisha anayo ishi sio maisha yake asilia ila hawa ndio wale watu walioathilika kutokana na utandawazi kila kitu kinavyo kuja anakipokea hata bila kufikiria umri wake na mila na testuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom