Ipatie Maneno hii Picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipatie Maneno hii Picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Power G, Mar 25, 2012.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Unafikiri hapa haya magamba magumu yanaelezana nini? Kazi kwako!
  Magamba magumu.jpg
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kuna sura ukiziona mawazo yote yana paa kwa jinsi ulivo na hasira kali juu yao. Hawa wapo katika hili kundi.
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hapa ni sura ya mbuzii tu hamna kujivua gamba
   
Loading...