iPad I @ 459,000/=•

iPad I @ 459,000/=•

dotnet

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
393
Reaction score
153
Ni iPad one ina leather cover original, ina 3G na WiFi hivyo unaweza tumia line ya simu kupata mtandao. Iko vizuri. Inafaa sana hasa kwa wale watu walio busy na everywhere walipo wako kikazi, email hazichelewi kujibiwa na pia masoko ya fedha n.k.
Nipo hapa Dar.
 
Betri inakaa mda gani? mi naweza kukupa Laki 3.8 kama una shida nayo hiyo hela niPm tuelewane
 
ina camera?

Haina camera ndugu yangu. Ila believe me, primary role ya iPad au tablet yoyote sio kupiga picha, hizo ni additions tu na kimsingi sio muhimu sana maana mtu inakuwa na camera kwenye simu, au camera yenyewe. Ila kuanzia iPad 2 zina camera ndugu.
 
mkuu bei kubwa sana kwa ipad one,punguza sana! laki 5 unapata ipad 2 sa ivi
 
Haina camera ndugu yangu. Ila believe me, primary role ya iPad au tablet yoyote sio kupiga picha, hizo ni additions tu na kimsingi sio muhimu sana maana mtu inakuwa na camera kwenye simu, au camera yenyewe. Ila kuanzia iPad 2 zina camera ndugu.

Kwanini kuanzia kwenye ipad 2 wameweka camera?
 
Kwanini kuanzia kwenye ipad 2 wameweka camera?

Ndugu idea sio kujadili swali kama hilo kuwa kwanini kuanzia ipad 2 wameweka kamera. Ujue wengi hasa huku dunia ya tatu wameanza kutumia tablets juzi tu. Mi nimeanza na ipad I, nikisema camera sio basic sana kwa sasa maana unakuwa na smartphone ina camera tena powerfu ajabu kama nokia zipo za mpaka megapxl 41, then unahitaji camera nyingine?
 
Hivi kumbe ipad one bado zipo?
peleka makumbusho tafadhali
 
Hivi kumbe ipad one bado zipo?
peleka makumbusho tafadhali

Sio makumbusho mkuu, ampelekee babu yake kule nanjilinji akaitumie. Version ya kizamani Nani anunue?
 
Sio makumbusho mkuu, ampelekee babu yake kule nanjilinji akaitumie. Version ya kizamani Nani anunue?

Cha ajabu iPad unasema version ya zamani wakati usikute hata soksi hapo umevaa mtumba. Mbona nimepata mnunuzi kwa pungufu ya elfu 14 ya bei niliyoanza? Tatizo miafrica ndivyo tulivyo always negative thinking!
 
Usiogope.
Huwezi kosa wa kumbambika.
hongera sana kwa kuutua mzigo.
 
Nimekosa vya kuomba mpaka nihangaike na fossils?
unakaa nyagwa eeh

Miafrika ndivyo tulivyo, myeusiiiii mpaka kumtima! Sasa ukitukana unapata heri gani kama sio upunguani?
 
Dah!!! kuna watu wanatia hasira aisee 😡 😡😡😡
 
Miafrika ndivyo tulivyo, myeusiiiii mpaka kumtima! Sasa ukitukana unapata heri gani kama sio upunguani?

Samahani hiyo biashara yako nyingine situmii
Kaa mbali
 
we mtoa uzi punga tu!...hyo ipad yako wanatumia wachunga buzi now!!..kama utakubali elfu 25 nipm fasta kuna msukuma mmoja anaulzia!...jitu zima unauza products za miaka ya 70!!..hovyoo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom