iPad I @ 459,000/=•

iPad I @ 459,000/=•

we mtoa uzi punga tu!...hyo ipad yako wanatumia wachunga buzi now!!..kama utakubali elfu 25 nipm fasta kuna msukuma mmoja anaulzia!...jitu zima unauza products za miaka ya 70!!..hovyoo!

dah! Mate vipi kaka!!!
 
we mtoa uzi punga tu!...hyo ipad yako wanatumia wachunga buzi now!!..kama utakubali elfu 25 nipm fasta kuna msukuma mmoja anaulzia!...jitu zima unauza products za miaka ya 70!!..hovyoo!

Asante, ila kununua si hiari kuna ugomvi? Mi nastaajab matusi yanini, if not interested si unatulia tu kuna ulazima gani wa kutukana?
 
duu pole muuzaji naona kuna watu wanakushambulia mno
 
duu pole muuzaji naona kuna watu wanakushambulia mno

Unajua ubinadam kazi ndugu yangu, watu wamekuwa viumbe hatari bora ukutane na simba porini. Just imagine mtu anatukana yaani ukiangalia why anafanya hivyo unastaajab na unakuta ni mtu mzima ana familia.
 
Cha ajabu iPad unasema version ya zamani wakati usikute hata soksi hapo umevaa mtumba. Mbona nimepata mnunuzi kwa pungufu ya elfu 14 ya bei niliyoanza? Tatizo miafrica ndivyo tulivyo always negative thinking!

Kaka soksi za mitumba zilipigwa marufuku na mamlaka za afya za nchi kitambo. Hongera km umepata mteja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom