iOS is much better than Android

Guys whoever says iOS is better than Android or Android is better than iOS has got some reasons maybe, i'm using both OS's but my best choice remains to Android. Well i will tell you why i prefer using android the best than iOS, first android is HIGHLY customizable and optimisable OS of all, android is an open source platform so it gives you more power of control of your device, it gives you much opportunity to learn tech stuffs, rooting my device is everything in my life forexample now am using galaxy note 2 but i don't use any software or feature that belongs to samsung i rooted my device flashed a custom OS this is what i like in my daily use of gadgets. Android lets you enjoy and have control of your device your so you are so free, but i cant refuse that iOS is a highly well engineered OS it is smooth and good for gaming, it performs better in gaming than android but still is so closed, Actually if you want a device for calling, receiving calls, txt, chatting, browsing or listening to music iOS is for you but if you need more than that then go for android smartphone

I talked about the open source nature of Android before reading your post.

It is refreshing to see someone else with the same approach.

Tatizo wengi wanaleta ushabiki wa kinazi, wana discuss teknolojia lakini ukiwaambia habari za ku "root" hawaelewi hata tofauti ya "rooting" na "jailbreaking" kwa sababu ni "users" tu.

"Rooting" Android Vs "Jailbreaking" an iPhone: What's The Difference? - AndroidPIT

Bottom line swali langu la kwanza, "better at what?", halijajibiwa, sijaona jibu.

Kwa sababu mtu mwingine hizo features ninazozipenda mimi katika Android (customization, open source, not being locked into an ecosystem, not being overcharged for apps etc) ndizo zitamfanya aipende iOS (customization ataona complication kwa sababu anapenda uniformity, open source hata haelewi what's the big deal about it, being locked into an ecosystem yeye ataona inaongeza security, being overcharged for apps ataona kuna fund weeding out cra.ppy apps)

Tushavuka enzi za ku generalize "this is better than that" bila ku specify with detail and studied research. Ndiyo maana tulikuwa na "Personal Computers", key word being "Personal".

Wanaojua teknolojia wanataka uwezo wa ku customize vitu, wanataka open source systems ku zi vet vizuri, hawataki closed ecosystems.

Tatizo tuna wanaojua teknolojia wachache, wengi ni users tu.
 
Muendelee kubishana....ila mi na window phone yangu niko kimyaaaa..naenjoy mwenyewe

Nakukubali mazee.

Kwa sababu unaweza kuwa na kitu chako kimoja tu ambacho Windows phone inakifanya vizuri zaidi ya Android na iOS.

Kwa hiyo, zaidi ya kusema Android au iOS is beter, it is important to say better at what and why?

Wewe inawezekana kabisa ukatuambia Windows Phone ina integrate better na laptop ya Windows unayotumia. Better than either Android or iOS.

Na kwa sababu hiyo, kwa kuwa hiyo ndiyo feature muhimu kabisa kwako, Windows phone wins.

Nitakukubalia kabisa.
 
Guys whoever says iOS is better than Android or Android is better than iOS has got some reasons maybe, i'm using both OS's but my best choice remains to Android. Well i will tell you why i prefer using android the best than iOS, first android is HIGHLY customizable and optimisable OS of all, android is an open source platform so it gives you more power of control of your device, it gives you much opportunity to learn tech stuffs, rooting my device is everything in my life forexample now am using galaxy note 2 but i don't use any software or feature that belongs to samsung i rooted my device flashed a custom OS this is what i like in my daily use of gadgets. Android lets you enjoy and have control of your device your so you are so free, but i cant refuse that iOS is a highly well engineered OS it is smooth and good for gaming, it performs better in gaming than android but still is so closed, Actually if you want a device for calling, receiving calls, txt, chatting, browsing or listening to music iOS is for you but if you need more than that then go for android smartphone

I agree. When ios will become popular they will see those weaknesses.
 
Huna uzoefu na android ni fast and frendly na user. Chombo chako memory yake kiduchu. Mzigo wa tani 50 unabebesha pickup ya tani 1.
 
kwa hili nakubaliana na kiranga inategemea unatumiaje hiyo device yako basi hakuna jingine..
 
kaka android kulag sio specs tu nature yake tu ipo hovyo kama kaka Nyasiro anavyoiita buggy os.

mfano angalia utorrent ya pc ni kb kama 600 tu wakati ya android ni mb7 na ya pc (window) ina mamia ya function kucompare na ya android ambayo ipo hovyo.

kuna kitu kinaitwa fragmentation. survey ya mwisho mwisho ya android inaonesha kuna device tofauti tofauti zaidi ya 1600 zinarun android. kila mmoja ina processor yake isiyofanana na mwenzake je kama wewe ndio developer utaweza vipi kutengeneza apps itayorun smooth kwenye processor zote?

kuna simu ya octacore hapa na ram 2gb ila inalag vile vile android haiachi nature yake

Kumbe tatizo lipo kwenye apps zinazotengenezwa na developers,nyingine zinakuwa incompatible na baadhi ya simu za Android,right? kwahiyo tatizo sio system bali apps. Frankly speaking i do not experience hizo mambo in my Xperia T. Hizo simu zenye Octa core/quad core ambazo zinapata hayo matatizo huenda ni matatizo ya manufactures na specs wanazoamua kuweka kwenye simu zao. I would prefer Android to other closed OS.

Kuna mtu kasema "it depends on how u use ur device", ni kweli kbs, kutumbukiza kila app iliyopo Play Store,apps nyingine zina impair system tu na hazina faida yoyote. Naweka app ambayo ninanitumia, hata ile iliyokuwa pre-installed kama siitumii huwa nina disable,as long as haiathiri utendaji wa simu.
 
Last edited by a moderator:
Tena unapoongelea ios unazungumzia apple devices only. lakini unisema Android ni mobile devices za aina tofauti tofauti. Ni wangapi wanaotumia ios wakabadilisha launcher yake?. Lakini ukitumia android mara umeweka anti-virus, mara umeweka launcher ya nova au nyingine , mara umeweka software ya battery saver, yaani unaweka vitu kibao ambavyo kimsingi havina maana. na hii inatokana na kwamba Apps za android zipo nyingi sana na zinapatikana kiRahisi tuu, tena ovyo ovyo.

Unaweka apps kibao zinaRun kwenye Startup 24/7 lakini umesahau kwamba hujaongeza RAM wala CPU speed. Lazima device ita-Stack ovyo.
 
Kumbe tatizo lipo kwenye apps zinazotengenezwa na developers,nyingine zinakuwa incompatible na baadhi ya simu za Android,right? kwahiyo tatizo sio system bali apps. Frankly speaking i do not experience hizo mambo in my Xperia T. Hizo simu zenye Octa core/quad core ambazo zinapata hayo matatizo huenda ni matatizo ya manufactures na specs wanazoamua kuweka kwenye simu zao. I would prefer Android to other closed OS.

Kuna mtu kasema "it depends on how u use ur device", ni kweli kbs, kutumbukiza kila app iliyopo Play Store,apps nyingine zina impair system tu na hazina faida yoyote. Naweka app ambayo ninanitumia, hata ile iliyokuwa pre-installed kama siitumii huwa nina disable,as long as haiathiri utendaji wa simu.

kaka sio apps tu hata system. dalvik yenyewe inazingua. project butter ilifeli kilichosaidia waliongeza minimum specs toka 256mb kuja 512mb ndo atleast watu wakapumua.

naskia kitkat wameitoa dalvik, sijatumia nikaona hio perfomance imeongezeka vp.

android huwezi tumia miez sita huku unaeka apps na kutoa lazma itaanza kuwa slow
 
Kinachoifanya Android iwe juu ni kwa sababu ya kuwa open source na kinachoifanya iwe inaboa ni kwa sababu ya
open source.

Android inazidi kupata umaarufu kwa sababu ya kuwa open source yani kila mtu anaruhusiwa kuchukua source codes na kuzifanyia modification ili ifanye kazi anavyotaka na hiki ndicho kunasababisha iwe buggy OS kwa sababu unakuta tayari source codes na ni vigumu kuzielewa mwanzo hadi mwisho kwa sababu hujaziandika wewe kuanzia mwanzo na hapa lazima utadumbukia kwenye bugs kuliko kama Android ingekuwa inakuwa maintained na developer mmoja let-say Google then feature request zote zinakuwa submitted kwa Google.

---- kuna mtu anaweza kulinganisha performance ya Untouched Android na Modified Android katika device moja anaweza kuwa shahidi.

Kitu kingine kinachifanya Android iwe slow ni Java. SunMicrosystems walikuwa wameona mbali sana wakati wanadevelop Java ili kuleta cross-platform compatibility lakini wamefeli kwenye SPEED. Application *zote* zilizotengenezwa kwa Java huwa zipo slow including Apps za Android. mfano mwingine ni hii app maarufu kabisa wengi tunaifahamu inaitwa Tunnel Guru ingalia vizuri itagundua ina-operate slow.

Miezi michache iliyopita nilipakuwa Android Development Kit na kujaribu kupitiapitia kuona structure na mfumo mzima wa apps za android na jinsi zinavyofanya kazi lakini niliishia njiani kwa sababu ya speed. Unapokuwa unatengeneza Android apps kupitia ADT unaweza kuchagua emulator za simu mbalimbali lakini hata hizo emulator kuload na kufungua hata Hello World app ni process ndefu utasubiri mbaka uchoke. Mimi haya ni mawazo yangu kuhusu Android na kiukweli siipendi.
 
Apple does a better job of getting Android users to convert to iOS with about 20% of its customers coming from Android vs. only 7% of Samsung customers coming from iOS.

Samsung makes up for not getting iOS customers to switch by having 37% of its customers coming from a basic or non-feature phone while Apple only has 26% of its customers upgrading from these lower functionality phones.

Not many users switch from Apple to Samsung at only 11%. This is critical to Apple’s long-term survival since Apple users are sticking with iOS and not defecting to Samsung, the biggest Android player by far. Apple is having about one-third of its users coming from Android with a substantial percentage, about 14% coming from BlackBerry.
It is interesting to note that similar to all buyers first time buyers favor Samsung by about a three to one margin, approximately 6% vs. 2%, over Apple.

Source: Consumer Intelligence Research Partners (CIRP)

It analyzed the results over the past four quarters from July 2012 to June 2013
 
Guys whoever says iOS is better than Android or Android is better than iOS has got some reasons maybe, i'm using both OS's but my best choice remains to Android. Well i will tell you why i prefer using android the best than iOS, first android is HIGHLY customizable and optimisable OS of all, android is an open source platform so it gives you more power of control of your device, it gives you much opportunity to learn tech stuffs, rooting my device is everything in my life forexample now am using galaxy note 2 but i don't use any software or feature that belongs to samsung i rooted my device flashed a custom OS this is what i like in my daily use of gadgets. Android lets you enjoy and have control of your device your so you are so free, but i cant refuse that iOS is a highly well engineered OS it is smooth and good for gaming, it performs better in gaming than android but still is so closed, Actually if you want a device for calling, receiving calls, txt, chatting, browsing or listening to music iOS is for you but if you need more than that then go for android smartphone

Belive me iOS can do all that bt you have to do some digging and googleling.
 
Nimejaribu kupeep kwenye iPhone 5S ya mshkaji wangu, sio siri nimeikubali performance yake, features and all that stuffs. Issue inakuja kwamba when it comes to apps, apple market hawana apps nyingi compared to android. and whats a phone without apps?android everyday kuna apps kibao zinaingia sokoni, unaweza ukashangaa hadi kuna app ya kutemeana mate lakini apple wana bana sana, labda mtumiaji asiwe mtu wa makuu (of course mara nyingi iphone users ni class flani ya watu ambao mostly ukimwambia hata kujail break atakuuliza whats that), so far android is still the best os for me, japo bado nipo utumwani misri (blackberry) on my way to the promised land....
 
Android gani unayoiongelea?
Ya Samsung si sawa na ya LG.

Android ni open source system, ona source.android.com hata wewe kama una ujuzi na unataka unaweza kuifumua na kuitengeneza kivyako .

iOS ni closed system, no customization. Unapewa kitu na Apple ndo hicho hicho. Hata hujui security yake ikoje in detail.

Which one is boring now?

Nazungumza android zote, samsung zote android yake ni same interface, Lg nazo ndo ivo ivo same interface, HTC ndo ivo ivo nazo, china mobile ndo tobaaa hawabadili lolote wanaiport kama ilivyo.... Talking about customization? Jailbreak your ios and see what you can do with it, ios is powerful dude, kuwa closed system kwangu mimi ni advantage, kuna jamaa yangu ameingia playstore anatafuta BBM ameletewa result, ameinstall, anafungua app eti inataka akamilishe surveys, seriously? Yaani google wenyewe cant take care of their store will they take care of the whole system? Malwares, virus ndio mwao humo android, ebu imagine kila mtu anafanya atakalo na android kisha you are talkong about sexurity? Mkuu katika security usigussie hasaaa, kwanza all apps in ios are approved na apple wenyewe, hizo za android mnazoziweka kwa custom installation majanga matupu, hujui how secured you are from those apps, sio hizo mnazoinstall out of playstore only, hata za playstore zenyewe huweZi kuzitrust, because those apps are freely allowed to do anything they want with the system plus your device, talking about freedom huh....?? Hahaha, the apps in android are free to dig your private infos for their business, one thing you should be aware of, you cant trust google, they collect alot of your datas. :)
 
Nimejaribu kupeep kwenye iPhone 5S ya mshkaji wangu, sio siri nimeikubali performance yake, features and all that stuffs. Issue inakuja kwamba when it comes to apps, apple market hawana apps nyingi compared to android. and whats a phone without apps?android everyday kuna apps kibao zinaingia sokoni, unaweza ukashangaa hadi kuna app ya kutemeana mate lakini apple wana bana sana, labda mtumiaji asiwe mtu wa makuu (of course mara nyingi iphone users ni class flani ya watu ambao mostly ukimwambia hata kujail break atakuuliza whats that), so far android is still the best os for me, japo bado nipo utumwani misri (blackberry) on my way to the promised land....

si kweli kaka ios ina app nyingi kuliko android. na app na games zote kubwa zinatengenezwa kurun kwenye ios kwanza halafu baadae wanaZiport kwenye android kisha windows phone.
 
Nazungumza android zote, samsung zote android yake ni same interface, Lg nazo ndo ivo ivo same interface, HTC ndo ivo ivo nazo, china mobile ndo tobaaa hawabadili lolote wanaiport kama ilivyo.... Talking about customization? Jailbreak your ios and see what you can do with it, ios is powerful dude, kuwa closed system kwangu mimi ni advantage, kuna jamaa yangu ameingia playstore anatafuta BBM ameletewa result, ameinstall, anafungua app eti inataka akamilishe surveys, seriously? Yaani google wenyewe cant take care of their store will they take care of the whole system? Malwares, virus ndio mwao humo android, ebu imagine kila mtu anafanya atakalo na android kisha you are talkong about sexurity? Mkuu katika security usigussie hasaaa, kwanza all apps in ios are approved na apple wenyewe, hizo za android mnazoziweka kwa custom installation majanga matupu, hujui how secured you are from those apps, sio hizo mnazoinstall out of playstore only, hata za playstore zenyewe huweZi kuzitrust, because those apps are freely allowed to do anything they want with the system plus your device, talking about freedom huh....?? Hahaha, the apps in android are free to dig your private infos for their business, one thing you should be aware of, you cant trust google, they collect alot of your datas. :)

Talking about security!!! if apple products were so secure, why would they suggest Obama not to use iphone for security purposes?! Every system is vulnerable to breach whether thru apps or other ways. The same applies to German lawmakers who have banned iphones for use in official matters claiming that they are not secure enough. How would you justify all these?
 
Nakukubali mazee.

Kwa sababu unaweza kuwa na kitu chako kimoja tu ambacho Windows phone inakifanya vizuri zaidi ya Android na iOS.

Kwa hiyo, zaidi ya kusema Android au iOS is beter, it is important to say better at what and why?

Wewe inawezekana kabisa ukatuambia Windows Phone ina integrate better na laptop ya Windows unayotumia. Better than either Android or iOS.

Na kwa sababu hiyo, kwa kuwa hiyo ndiyo feature muhimu kabisa kwako, Windows phone wins.

Nitakukubalia kabisa.

we lijamaa una akili wewe.....kweli uzuri wa kitu ni mtu mwenyewe....mwingine hata hizo crash sijui hata hazioni yeye anachiojua ni kutumia tu.....mimi kaka angu anasumsung GT19000 ye kila siku ni kulalamika tu mbona simu yangu hata kupokea call inaganda....alipata tabu mpaka akafanya restore default....
 
Nazungumza android zote, samsung zote android yake ni same interface, Lg nazo ndo ivo ivo same interface, HTC ndo ivo ivo nazo, china mobile ndo tobaaa hawabadili lolote wanaiport kama ilivyo.... Talking about customization? Jailbreak your ios and see what you can do with it, ios is powerful dude, kuwa closed system kwangu mimi ni advantage, kuna jamaa yangu ameingia playstore anatafuta BBM ameletewa result, ameinstall, anafungua app eti inataka akamilishe surveys, seriously? Yaani google wenyewe cant take care of their store will they take care of the whole system? Malwares, virus ndio mwao humo android, ebu imagine kila mtu anafanya atakalo na android kisha you are talkong about sexurity? Mkuu katika security usigussie hasaaa, kwanza all apps in ios are approved na apple wenyewe, hizo za android mnazoziweka kwa custom installation majanga matupu, hujui how secured you are from those apps, sio hizo mnazoinstall out of playstore only, hata za playstore zenyewe huweZi kuzitrust, because those apps are freely allowed to do anything they want with the system plus your device, talking about freedom huh....?? Hahaha, the apps in android are free to dig your private infos for their business, one thing you should be aware of, you cant trust google, they collect alot of your datas. :)

Closed system ni advantage kwa sababu wewe ni "luser".

Halafu ukisema "android zote" unachekesha.

Ushatumia Android zote kweli?
 
free apps kaka?

kaka android ina piracy nyingi na sio free app

1. game zinatengenezwa na makampuni yale yale kwenye os zote. mfano gameloft katengeneza real football akaamua liwe bure basi ios android na wp kote linakua bure na akiamua liwe la kulipia basi kote linakua la kulipia.

kuna criteria chache unakuta store moja ni kulipia na nyengine bure ila sio common.

2. android inaongoza kwa piracy yani kitu cha kulipia unakipata bure. mfano san andrea gta unalipata bure na hata wiki halijafkisha
 
Back
Top Bottom