Kwanza kabisa Android is boring!!! Kuna kipindi nliskia watu wanaiponda ios kuwa boring kisa eti interface yake ni the same throughout, sasa tangu android ianze mpaka imefika kitkat, UI ni the same. Mimi niliwahi kuchezea S3 yaani mda mfupi tu niliiona kama haina ishu yoyote!! Android ni kama Windows tu katika pc, pc nyingi ni windows lakini in terms of perfomance Mac ni best, ndo vile vile katika mobile platforms, ios ni best so far, tena hii ios7 ndo kiboko.... Kama alivosema chief mkwawa, Android kulag ni nature yake, mi nasema kuwa Lag katika android ni special feature hasa haikosekani.
Then android ilivokuwa bomu sasa, yaani unakuta a device ina octacores, lakini perfomance mbovu kabisa, iphone yenye dual cores ina perform much better kuliko octa. Mi nahisi CPU architecture ni very important, yaweza kuwa una core 50 lakini ikashindwa in terms of perfomance na yenye 2 cores only.... Jambo jengine sasa pia kalisema Chief apo, android devices zipo nyingi sana, tena sana, hii ni disadvantage... Halafu bana wachina ni zaidi ya viboko, china mobile wanatoa S4, with the same quality, na same functionality, same physical appearance (tofauti ya s4 clone na original ni bezels, sasa hizi nazo zinaondolewa) itakuwa ni ngumu kuijua ipi original na ipi feki labda uchek IMEI.... Kitu IOS TU!!