iOS 5 landing October 12

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
You heard the man. Scott Forstall's on stage here at "Let's Talk iPhone" and just gave a hard date for iOS 5's arrival: expect it to hit next week, on October 12th.

kazi ni kwetu
 
ngojea tuone wale watu wa androids wataleta chuki kama kawaida lakini mimi nazani ios5 ni bomba sana na ile iphone 4s kama waweza pata
 
ki2 ya iphone ni maneno ingine mkuu angalia nimetuma maelezo ya 4s imetulia androids kazi wanayo mkuu
 
adroids kazi wanayo walikuja na hii personal assistance kwanza na dictation lakini inafanya simu nzima isifanye kazi na inachukua muda mwingi tusubiri tuone iphone itakuwaje. Lakini hawa watu wa apple hawaletagi vitu vimepikwa nusu. wanaletaga vitu vimepikwa vikapikika yaani mpaka ukitumia waona unajiuliza nimeishije bila haka kakitu.
 
kweli kabisa mkuu apple ni noma
 
Back
Top Bottom