Inzi kwenye Bia

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?
 
Duh! Ndo bar za Dar zilivyo, kwa vile hata mahala pa safi inzi atakuja tu imagine kama kuna samaki pale au chakula chochote lazima inzi waje, so kwa kumwaga bia bar haihusiki na upotevu wa uchumi wako mzee!
 
Sielewi kwa Tanzania ila kwa nchi ya nje, anakulipa kinywaji chengine na unaweza kupata service ya chakula bure pia
 
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?

Kuna jamaa mmoja wa nchi jirani alimtoa nzi aliyeingia kwenye glasi yake iliyokuwa na bia, akamfyonza halafu akamtupa na kumwambia "buy yours...st***d!" baadae akashushia na ile bia iliyochafuliwa na yule nzi.

Ilibidi tuhame pale mezani!
 
Hahahahahahahahahahahahahaaaaa! Nimecheka sana aisee....Enhee baada ya kuhama mkawa na amani?
 
Ilikuwa kila alipokatiza nzi mezani kwetu, mashavu yanajaa mate! Mwishowe ilibidi tuondoke kabisa maeneo. Mshikaji alionesha ujasiri wa aina yake, kumbuka nzi mwenyewe ni yule "bwana afya" a.k.a "nzi wa kizungu"
 
Wale wa kijani wale, dar yataka moyo aisee!

Lkn kwa bar za bongo hapa bar haikulipii hasara utakayopata labda mhudumu amekuvurugia mahesabu yako!
 
Kuna jamaa mmoja wa nchi jirani alimtoa nzi aliyeingia kwenye glasi yake iliyokuwa na bia, akamfyonza halafu akamtupa na kumwambia "buy yours...st***d!" baadae akashushia na ile bia iliyochafuliwa na yule nzi.

Ilibidi tuhame pale mezani!

jamaa kiboko!
Mi kwenye bia namwaga lakini kama nakamata whisky au brandy naomba kisoda namtoa kisha naendelea nayo.
Lakini ilibidi watulipe. Imagine unapewa glass kubwa inayoingia bia nzima halafu umepiga funda moja tu nzi wa ccm huyo!
 
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?

We sıo mnywajı wa beer!
Inzı akııngıa kwenye glası ya bıa hutakıwı kumwaga, jaza glası yako bıa mpaka juu kabısa zen chukua kıfunıko cha beer mtoe kıulaını huyo Inzı paspokumwaga hata tone, kısha chukua glası yako pıga fundo moja na endelea kutıa heshıma bar!
 
Kuna jamaa mmoja wa nchi jirani alimtoa nzi aliyeingia kwenye glasi yake iliyokuwa na bia, akamfyonza halafu akamtupa na kumwambia "buy yours...st***d!" baadae akashushia na ile bia iliyochafuliwa na yule nzi.

Ilibidi tuhame pale mezani!

Yap! Huyo ndo anajua kutumıa hela yake!
Inzı hana madhara kabısa kwenye bıa, akııngıa mtoe na uendelee kupıga masanga kama kawa!
Tujıulıze tu, nyama tunayonunua kwenye butcher zetu uswaz mbona znakuwa zmezongwa sana na ınzı mbona tunanunua na kuleta kwa famılıa zetu?
 
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?

unatakiwa umtoe huyo inzi kwa kijiti then umfyonze na ndio umtupe, huo ustarahabu wakulpna cc hatunaga.
 
We so mnywaj wa beer!
Inz aknga kwenye glas ya ba hutakw kumwaga, jaza glas yako ba mpaka juu kabsa zen chukua kfunko cha beer mtoe kulan huyo Inz paspokumwaga hata tone, ksha chukua glas yako pga fundo moja na endelea kuta heshma bar!

Ha ha ha haaa...! Heshima bar eeeh!?
 
jamaa kiboko!
Mi kwenye bia namwaga lakini kama nakamata whisky au brandy naomba kisoda namtoa kisha naendelea nayo.
Lakini ilibidi watulipe. Imagine unapewa glass kubwa inayoingia bia nzima halafu umepiga funda moja tu nzi wa ccm huyo!

Nzi wa sisiem! Kaaz kwel!
 
yaani umwage bia sababu ya nzi tu!?basi kuwa uyaone.ndo usharobalo au?sijakuelwa vizuri.unasema?mia
 
nimeuliza tu ili nijue kama nina rights kama mteja. Hata mimi kwenye vikali simwagi, ni mapokeo tu, sina sababu.
Ushrubaro siujui im old skool!
 
Back
Top Bottom