[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe mmea atashuka.. Hujui kuna ni askari wa kujitolea?
Mshana jr tafadhali ndugu yangu mambo ya kutupiana vitu vya ajabu sio mazuri.
Huyu paka toka jana asbh yupo chini ya gari hataki kutoka nimeenda nae mpk masaki na jioni nimerudi home yupo tu leo nmeshindwa kutoka na gari kwa sababu analia tu nisije nikaonekana mchawi kazini.
mziguamshana jr huyo ni nani? Utakuwa umenisaidia saana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpe mmea atashuka.. Hujui kuna ni askari wa kujitolea?
Aseeh ama kweli unafaidi msee... mtoi ako hot sai nitaanza katia.mzigua
Hana shida muache tu.. Angekuwa mweusi ningekushauri tufanye maarifaLeo nmemuwekea mpk nyama atoke lkn wapi
Asbh nmehangahika nae zaidi ya nusu saa mpk nikaamua kuomba lift nmewapa vijana kazi wamtoe mpk sasa hivi sijapata jibu kuwa katolewa
Sema babu alinikataza hata kukutaja.Ni mimi