Invitation to all JF members: Debate!

Wengine kabla hatujathibitisha kuhudhuria utuambie wewe unatofautianaje na Anna makinda kwa mfano makinda hajaolewa, makinda anaegemea chama chake bungeni, makinda hakubali miongozo ya chadema kiurahisi, makinda anajichekesha chekesha, makinda hajiamini, full time yuko na wigi, makinda amepwaya kwenye joho la uspika (kimbau mbau) makinda hajui sheria kabisaaaa, makinda anajua kanuni tuuuuuu tena zinazoipendelea serikali . . . . . . . . . . . . .
 
Tungeomba mpeleke hii note ikulu tumualike na Rais aje achangie na kujitetea, si mnaonaga at times obama anakua online anajibu maswali...mwambieni na yeye aje hapa u never know inaweza ikafanya watu wakaiona ccm na serikali kwa mtazamo tofauti
 
Ok Nitatokelezea siku hyo Inshallah
 
Nadhani debate ingekuwa ya kipindi 2005-2010 ili iwe fair kwa Rais. Kudebate kipindi chake cha pili ni kama kwa sasa ni kama kusema kuwa farasi mmoja kati ya wale wanaoshinda keshashinda wakati mbio hazijesha.
 
Zomba ampelekee si ndio mpambe wake!

I guess zomba has go two tasks to fulfil...One is to partcipate on this debate and the other one is to make sure that the copy of this debate goes straight to Mr. President and return with the proof of delivery.
 
Tungeomba mpeleke hii note ikulu tumualike na Rais aje achangie na kujitetea, si mnaonaga at times obama anakua online anajibu maswali...mwambieni na yeye aje hapa u never know inaweza ikafanya watu wakaiona ccm na serikali kwa mtazamo tofauti

Atajibu nini sasa?au unatamani kukasirika?
 
Mwali na Roulette ... Thanks for this !!Mwali utakimbia lakini hutajificha hah hah ... anyway I am happy with your new task!! Bravo!!! Will see you there!!Jambo la msingi ...!!Tunaomba abstract ya kitakochokuwa kinajadiliwa ... hata kwa ujumla tu ... siku si nyingi tunahitaji kujiaandaa!!!
 
Last edited by a moderator:
nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…