Mi nadhani kama kungekua na uwezo wa kuzuia watu kuchangia kwanza mpaka hapo wahusika watakapo maliza ingekua vizuri, maana kama nnavyoijua hii JF yaani Mods mtakua na kazi ya kudelete post zisizofaa na itaharibu mtiririko. Kama hili litawezekana nadhani itakua njema sanaNdio. So long as hamtoi majibu, na kama post zinahusu mada inayo jadiliwa, hakuna ubaya. wakati debate inaendelea tutapokea masuali mbali mbali toka kwa members, na mwisho kabisa suali tatu zitachaguliwa kua suali 13, 14 na 15.
Ritz umeanza...
mimi siji huko ...maloveee lini?
Hongera zako, usipendelee tu siku hiyoRitz umeanza...
Wazo ni zuri,ila itakua bora zaidi matokeo ya mjadala na solutions yake apewe nakala mhusika(presda)
Asante Roulette fursa nzuri sana nitajitahidi kuchangia kadri ya uwezo wangu.
mimi sipo okee bana..hili swala la huu mdahalo limeniboa kila siku ...sasa tutajadili nini hapa eti! utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012..si alishaongoza ?sasa mnajadili ili iweje? mtafanya nini sasa? .hata sielewi ...mimi nataka mada za kimalavidavi tu nirelax mie ..kila siku jk mwenyewe anakula zake bata nje huko ...hivi yupo nchini?Hujambo mtoto mzuri?