Invisible Kupelekwa Hague | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Invisible Kupelekwa Hague

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TUJITEGEMEE, Sep 7, 2012.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Katika hali ya kushangaza mtaalamu wa JF Invisible amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya soma kusuduio la kupelekewa walanti wakukamatwa na kupelekwa The Hague (ilipo mahakama ya uhalifu ya kimataifa).

  Bila kumalizia kusoma kusudio hilo, Invisible ametimua mbio na kwenda kujifungia kabatini kwa muda wa masaa matatu.
  X-PASTER ndiye aliyefanikiwa kumtoa kabatini kwa kumueleza kuwa kusudio hilo limeandikwa na wapenzi wa Jamii Forum-Joke wakitaka forum yao nayo iweke thread za "Sticky" kama majukwaa ya Siasa, kimataifa na kadhalika.

  My take: Utaamua mwenyewe kama ni kichekesho au utani au udaku...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,487
  Trophy Points: 280
  Unautani na Invisible wewe?....
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Unabahati upo kwenye jukwaa la utani, vinginevyo ungepigwa ban mpaka tukusahau
   
Loading...