Investor anahitajika

newbegin

Senior Member
Jun 3, 2016
109
16
Natafuta mtu wa kuinvest kwenye idea yangu ya biashara!
Mtu aweze kuinvest kuanzia 5milion kupanda! Kama ni mkopo nitamlipa kwa marejesho ila kama ni only investment atapata shares katika hii biashara! Kwa hiyo atakuwa miongoni mwa shareholders!
Baada ya muda hii biashara au kampuni itaweza kuzalisha pesa zaidi! Akiinvest 5m .Katika profit, thamani ya shares atakayoipata inaweza kuzidi 5m hiyo! So ni biashara nzuri in a long run.
Wanahitajika investors kama wawili hivi.
Binafsi sina hela ila nina idea, ila natumahi tukishirikiana tunaweza tengeneza kitu kizuri zaidi!!
Siwezi ieleza hii idea hapa ila tukikutana naweza ieleza vizuri kwa jinsi ninavoipanga itakavyokuwa!!
Kama kuna mtu yuko serious please tufanye investment hii!
Ni PM kama uko serious members mwenzangu
 
Kadri vyuma vinavyo zidi kukaza, smaller"Forex"zinazidi kubuniwa wallah....
 
Ndg zangu Daima naheshimu Idea's, kwangu mimi wazo ni zaidi ya pesa, hivyo wazo ndio MAONO, so mwenye MAONO ndiyo King maker. Hongera ndg yangu, binafsi nikutamkie Baraka.

MUNGU baba Baba mbariki ndg huyu akutane na mtu Sahihi kulingana na wazo lake.

Hakika ukiwaza sahihi na ukatenda sahihi, amini majibu pia yatakuja katika namna ya usahihi.
 
asante mkuu,be blessed
 
Watu wanawakatisha tamaa wenzao sijui kwanini? Mwezi uliopita nilikuwa nataka nianzishe nikawa napelewa na kitu kama mia name Elfu hivi. Ikabidi nimpigie magoti mshikaji mpaka tukaandikishana. Project ikaanza tar. 30 mwezi January leo tar 27 febr. Imeingiza kama 11m.
 
Back
Top Bottom