Investor anahitajika

Investor anahitajika

Kwenye uwekezaji usiogope hasara kwa sababu ili ujue kama inalipa au hailipi inabidi uwekeze kwanza
 
Wanaosema vijama wajiajiri hawana mawazo ya kujiajiri watajiajiri vipi wakati wakitafuta investors wanabezwa.
Nchi kama Marekani watu wana invest kwenye ideas za watu, kuna watu wameinvest kwenye ideas za Elon Musk mabilion ya ela, vitu vingi leo tunavishangaa kumbe vilianza kama wazo watu waka invest.
Kwetu sisi ukija na wazo huna mtaji watu wanakuita mpigaji wakidhani kujiajiri ni kilimo tu ukawambir watu mshirikiane kulima matikiti na kufuga kuku
Kadri vyuma vinavyo zidi kukaza, smaller"Forex"zinazidi kubuniwa wallah....
 
Back
Top Bottom