malenga mwitu
New Member
- Dec 10, 2011
- 3
- 3
Wanachama mpooooo! mimi ni mwanachama mpya wa ukumbi huu wa kipekee.Ni malenga chipukizi, mpenzi mkubwa wa kiswahili na bado mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta. NAOMBA MNIPOKEE.AHSANTENI SANA.
Karibu Mkuu. ID yako ya ngapi hii?