Introducing teamrafiki

watu wanabadilika mkuu bado wewe tu kubadilika karibu kundini hujachelewa, Mentor kavutwa kundini na shemeji yetu
so ana ahaki ya kuwakimbia huko ambako mnasema alikuwepo ingawaje mwenyewe ameshathibitisha hakuwepo cham hicho
cc : mwallu

chama chetu haturuhusiwi kufanya disclosure lakini Mentor ni kiongozi mkubwa sana ndani ya chama
 
Last edited by a moderator:
mmmmh kuliko kufa kwa hii baridi hapana wewe njoo ntajalipia mbeleni kufunga lol

basi usijali majivu nitakuja kukupaka mwenyewe jumatano ijayo tupange basi tunakutana wapi.???:llama::llama:
 
Wee Karucee wewe! Tulikua wote kwenye hii vita ya baridi afu naona hii 'like' umeila apa exactly the same time... Wala sikushtukia..Wee ni noumer..........!!!! It was funny though!!!!
Nina wasi wasi huo sana maana si kawaida yake aise na aliyemtight kamtight mbaya kabisa
 
Last edited by a moderator:
watu hubadilika mwekundu..hata wewe una nafasi ya kubadilika ukiamua...mwenyekiti wako (sina hakika kama kweli ni mwenyekiti)P kaona huko hakufai,kaamua kuchagua fungu jema..karibu pia
HAPANA MIMI SIO MWENYEKITI LAKINI NASHANGAA MWENYEKITI AMETANGAZA KUHAMA CHAMA WAKATI KADI BADO HAJARUDISHA CC Nicas Mtei Mentor
 
Last edited by a moderator:
Wee Karucee wewe! Tulikua wote kwenye hii vita ya baridi afu naona hii 'like' umeila apa exactly the same time... Wala sikushtukia..Wee ni noumer..........!!!! It was funny though!!!!
Nina wasi wasi huo sana maana si kawaida yake aise na aliyemtight kamtight mbaya kabisa
 
Last edited by a moderator:
chama chetu haturuhusiwi kufanya disclosure lakini Mentor ni kiongozi mkubwa sana ndani ya chama
alikuwa kiongozi ndani ya chama chenu mbona hutaki kukubali hilo mkuu Mentor tafadhali njoo umthibitishie huyu bwana mkubwa hapa kwamba wewe na yeyee sasa hivi hampiki chungu kimoja tena.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa kutufahamisha
sasa ile kadi yangu ya jana ya ubalozi wa teamrafiiki nani anayo
kwani jana hamkunipa

Wee Karucee wewe! Tulikua wote kwenye hii vita ya baridi afu naona hii 'like' umeila apa exactly the same time... Wala sikushtukia..Wee ni noumer..........!!!! It was funny though!!!!

mkuu ulikuwepo wapi tulihisi na wewe baridi limeuathiri...

ukafichwa ndani!
 
Wee Karucee wewe! Tulikua wote kwenye hii vita ya baridi afu naona hii 'like' umeila apa exactly the same time... Wala sikushtukia..Wee ni noumer..........!!!! It was funny though!!!!

Hahahaa. lol. Usinisingizie mie. Nime like manake nimeshangaa huu utundu umeanza lini? Ama umesahau tumetoka mbali?
 
aisee!! Mndengereko nomaaaaa!! katiba yenu inasemaje lakini kuhusu kujisepesha bila ridhaa?
tunakemea hilo swala kwa nguvu zote,hatuko tayari kumuona member amekuja njia sahihi alafu akaamua kufuata njia ambayo sio sahihi

by the way jana kuna tetesi zilivuma hapa ndani kwamba ulipishana kauli na miss nedy ni kweli??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…