Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
- Thread starter
-
- #441
nimekutafuta kila angle za jiji sijakupata na mvua hii na kibaridi hiki nikajua upo sehemu yenye joto unatuliza baridi na kusubiria mvua iishe ndo utoke njeohoooo OMG yaani wewe nawe ni wa kusikiasikia kweli
why hukuja kuniuliza whats happen kumbe naweza kuzidiwa na ukanipita kama hunijui aiseeeeeeee
ni swala la kuomba tu uanachama na kupewa sharti kuu utulie njia kuu usipende kuendekeza michepuko
mkuu tupo hapa kudumisha na kufanya tuwe close kama marafiki wa jf na kukumbushana tunapokosea so wewe tunakupa uanachama ingia kundini tafadhlai na wahabarishe watu kutenda mema #teamrafikiUnajiungaje kwenye hiyo team Rafiki...?
Hahaaa! siendekezi ila panapo lazimu sio mbaya. Naomba kusajiliwa.
nimekutafuta kila angle za jiji sijakupata na mvua hii na kibaridi hiki nikajua upo sehemu yenye joto unatuliza baridi na kusubiria mvua iishe ndo utoke nje
money is evrything....! kimbieni at the end you will come back to excel origin
pitia hata benki kuu hatuhitaji msaada wako full stop.naomba nipite barclays mara moja nione jinsi ya kuwasaidia mlo wa jioni...
msije mkawa mnapiga porojo tu hapa kumbe hamjiwezi...
tunakumbushana michepuko sio dili kama kwako dili basi hufai..huu urafiki sasa mbona unaingia kwenye masuala binafsi? alaaa!!
basi umepata mkuu ingia kundini tunakutengenezea kadi yako ya uancahma tafadhali wasisitize watu kutenda mema
#teamrafiki
nimekutafuta kila angle za jiji sijakupata na mvua hii na kibaridi hiki nikajua upo sehemu yenye joto unatuliza baridi na kusubiria mvua iishe ndo utoke nje
Mndengereko hapa kwenye meza yangu fomu ni nyingi sana. Member alieomba fomu tunahitaji kupata taarifa zako kama hukupitia kwakina Excel na mwekunduutafiti msaidie kumpa fomu tafadhali mjumbe mpya naona mzigo ushaanza kunielemea
money is evrything....! kimbieni at the end you will come back to excel origin
guys! This team is good actually! Privately i was just challenging.. But i wish you all the best in your steps you are going to make...
I will give you my feedback soon.. Let me see what iam doing now if i will be favourable in terms of time.. I am here guys... Dont get upset because of excel..