Karibu. Ile swali langu lilikua lina maana zaidi ya hii.
Honestly sijaona mahali panakohitajika pesa hapa, I understand I am foolish sometimes though. I maight have missed a point downt the line as to why #Teamrafiki . Wakuu hebu ng'amua hapa Mndengereko, Ntuzu, Karucee, Mr Rocky, miss chagga, mwallu,

shem karibu kundini nasikia kuna masahibu yamekukuta kidogo na mwenza wako ni kweli?
naomba nipite barclays mara moja nione jinsi ya kuwasaidia mlo wa jioni...
msije mkawa mnapiga porojo tu hapa kumbe hamjiwezi...
kuhusu majivu pokea sasa
na tukimaliza kwaresma naomba uje home kwangu
nikufanyie ukaguzi kama ulifunga au la!
undugu mwala mawe ama?.. msije mkapigana vijana?
btw, naombeni organisation structure... nahitaji hao watu niwaweke mkononi mapema!
Ata upite NMB hatutaki ufadhili
tunakula tunachopata.sio lazima kiwe kikubwa sana,kwetu upendo,furaha na umoja ndo primary objective
you deserve it umeshindwa kubadilika accordingly.Aaaka! Mwenyekiti awe na busara, uvumilivu na pia aweze kukabiliana na challenges!
Mashaxizo kosa lake linazungumzika istoshe hahusiani na ubazazi!
...
Nakata rufaa juu ya uwamuzi huo unaomuhukumu Mashaxizo!
Hatuhitaji hizo fedha sio safi! Tukuletewa ndoa za jinsia moja je?
huu si ufadhili kijana... acha hasira za kikurya!
Hata mimi nimo au sijasajiliwa rasimi?
We don't your found men!
Hizo hela zako zina nguvu ya ndoa ya jisia moja!
ni swala la kuomba tu uanachama na kupewa sharti kuu utulie njia kuu usipende kuendekeza michepuko