NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 588
- Thread starter
- #21
Kaka mi naona uko-overexcited kutokana na bei kiasi kwamba umeshindwa kuangalia mambo ya muhimu kama screensize, hako kadudu kadogo sana bana, huwez kukasogeza karibu na ipad, labda wangekawekea 3g kangekuwa kwenye kundi la galaxy note! Hata hivyo sidhani kama ndy th cheapest tablet out there; kama utetezi wako ni price!.....lakini...is it a tablet realy? i see it more of an e-reader, kama kindle, nook na vitu kama hivyo!
Hapana, Asante!
It's true Am excited with it's price.
but mkuu ukitoa Camera, Screen size na cellular network connection Ipad inaizidi kipi kingine???
Soon Kutakua na other Nexus Tablets zenye 3G na 10" let's keep waiting.