nashukuru kwa kunielewesha..LORDVILLE pole sana ndugu yangu. Hii ni "unhandled exception" na inatokea pale program inapofeli
kufanya kitu ambacho imeelekezwa kwa mfano ESE Dictionary imeelekezwa kusoma file ambayo
ipo katika location fulani sasa isipolikuta hilo file ndo unapata error kama hiyo.
yan ilitokea soon baada ya kuinstall...nlipoweka neno la kwanza la pili ikaanza niletea hiyo error..ulifanikiwa kutumia ESE Dictionary mwanzoni bila matatizo?
soon baada ya kuanza itumia..hii error inatokea muda gani? pale program inapoanza au katikati ukiwa unatumia
hapa natumia windows 8 enteprise x64 bit..unatumia Windows gani (your system information)
Sorry mkuu Nyasiro, nilibanwa kidogo hapa kati ndo maana nimechelewa kuwasilisha mtazamo wangu.
Nimefanya rough sketch ya metro kidogo
Nitatuma na nyingine zitazoonesha muundo wa sasa ukiwa safi na katika mpangilio.
nashukuru kwa kunielewesha..
yan ilitokea soon baada ya kuinstall...nlipoweka neno la kwanza la pili ikaanza niletea hiyo error..
soon baada ya kuanza itumia..
hapa natumia windows 8 enteprise x64 bit..
Mkuu Nyasiro big up kwanza ila kuna maneno mengi sio ya kweli kwa mfano
Neno Down tafsiri kwa kiswahili mmeandika angua,ni kweli down angua? Obstacle ni kizingiti lakini nyie Bar ndio kizingiti rekebisheni hayo makosa otherwise ipo freshi,maneno mengi mmekosea tafsiri zake pitieni upya mkishiriana na TUKI/UDSM.
King Kong IIIMkuu Nyasiro big up kwanza ila kuna maneno mengi sio ya kweli kwa mfano
Neno Down tafsiri kwa kiswahili mmeandika angua,ni kweli down angua? Obstacle ni kizingiti lakini nyie Bar ndio kizingiti rekebisheni hayo makosa otherwise ipo freshi,maneno mengi mmekosea tafsiri zake pitieni upya mkishiriana na TUKI/UDSM.
King Kong III
kuna maneno yenye maana nyingi. Mfano neno "Down" nimeangalia nimekuta limetolewa maana 23 kwa hiyo unapokuwa unaangalia maneno jaribu kuangalia maana nyingine kwa kubonyeza mshale wa kulia/kushoto au kwa kutumia gurudumu la mouse au kwa kutumia keyboard arrow za kulia/kushoto
BTW
Mimi sihusiki na tafsiri yoyote. Mimi nahusika na utendaji kazi wa program hii.
View attachment 129642
Okey...
Karibu sana King Kong III
Kama unakitu ungependa kiongezwe au kipunguzwe tafadhali naomba usisite kunijulisha.
option ya kucopy na kupest results naomba iongezwe
Aisee!Hope hii ndo itakuwa final version na project hii ndo itakuwa imeishia hapo.
Ngoja nione kama nitapata contact. Kama Kamusi full mtu ananunua kwa mfano 5000Tsh, itarahisisha sana vitu!Stefano Mtangoo,
Wazo zuri sana. Lakini watanzania wamejaa ujanjaujanja hadi kwenye vitu vya msingi. Utashangaa wanakuzungushaaa 😡 mpaka basi.
Hata mimi ningependa sana kufanya kazi na TUKI lakini kuna vikwazo ambavyo naamini kwako haitakuwa ngumu. Kwa mfano uwepo kampuni hii inakuwa rahisi hata kuaminika kuliko kufanya vitu kienyeji.
Ngoja nione kama nitapata contact. Kama Kamusi full mtu ananunua kwa mfano 5000Tsh, itarahisisha sana vitu!
Wakiniruhusu nitafanya parsing to database then encrypt the database. Ni kazi rahisi sana kuifanyaWasiwasi wangu mwingine upo kwa TUKI. Je hizo kamusi zao wameziweka katika mpangilio gani? Unaweza kuta ipo katika Word Document...
Lakini kama ikiwa organised katika database inakuwa rahisi sana kama kuhesabu 1-2-3
Umeshafanya mwenyewe? Mi nataka niffanye kwa Python/Beautiful-soapMhhh :wink2: How about this kind of rough parsing
View attachment 129802
Bold --> Dictionary Entry/Word
Italic ----> Word Class
Regular ----> Meaning/Definition
( ) ------> Some note
Umeshafanya mwenyewe? Mi nataka niffanye kwa Python/Beautiful-soap
Mhhh nlikuwa napitia pitia documentation za beautiful soup na inaonekana ni library nzuri.