Magembe R. Malima
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 233
- 214
Hongera Nyasiro,
Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:
View attachment 128973
Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.
Kama ataweza kutumia Web Component somewho anaweza implement kwa HTML/CSS/JSmimi nimependa muonekano huo....
ila mimi pia nna doubt kama muonekano huo unaweza kuwa implemented? kama nyasiro anaweza kuprogram something like that in later version upande wa graphics itakuwa Dopeeee
i succeeded to download it let me test then i will give feed back
Good Work Nyasiro
I downloaded It, Iko poa sana. Ila wacha niwe kama Steven Jobs, function naona ziko sawa kote, ishu inabaki kwenye muonekano na mpangilio wa content.
Kwa sasa muonekano uko basic, naamini katika version inayofuata walau utarekebisha mpangilio wa content, mfano mzuri ni page ya "Software Information"
Nitaandaa Mtazamo wangu katika picha na kukutumia kwa email. Jinsi unavyoweza pangilia na kuweka mabadiliko yatayo leta mvuto zaidi.
Big up Nyasiro
Thanks.Good Work Nyasiro
Hongera Nyasiro,
Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:
View attachment 128973
Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.
mimi nimependa muonekano huo....
ila mimi pia nna doubt kama muonekano huo unaweza kuwa implemented? kama nyasiro anaweza kuprogram something like that in later version upande wa graphics itakuwa Dopeeee
hongera kamanda umejitahidi sana hadi hapa keep it up broo
Kama ataweza kutumia Web Component somewho anaweza implement kwa HTML/CSS/JS
what a grafix sir umetisha mbaya..Hongera Nyasiro,
Sijaikagua sana kwa sasa na ndiyo maana sina cha kusema sana. Niseme tu kuwa napenda fahari ya macho hivyo instinctively huwa najikuta naangalia sana User Interfaces. Kimsingi naona iko poa tu. Labda ingefaa isiwe inaweza kuwa full screen ie window size iwe limited. But kwa flavour zangu may be ingekuwa hivi:
View attachment 128973
Kazi njema.
NB mimi si programmer huenda hiki nilichofanya "hakiliki." Nisamehewe ikiwa ndivyo.
Daaaahhh! hapo kwenye RED sijakuelewa Magembe R. Malima sio siri umetisha asante sana kwa idea yako tutawasiliana nione nafanyaje pamoja na dizaina wangu Joe Nyandigira
Namaanisha kuna software ambazo hazina option ya kuzimaximize, mfano calculator ya Ms Windows (natumia Windows 8) huwezi kuifanya ikajaa screen yote, ina maintain size fulani.
Katika software yako nisipoi-maximize naona kulia kuna www nyasiro dot com ila nikii-maxiimize web link hiyo inapotea. Lakini hasa nilichokuwa nazungumzia ni kuwa hii interface niliyoleta hapa ni bitmap image/pixel na si vector hivyo kama nimeidesign kwa resolution fulani mtu akii-maximize inapoteza quality, ndiyo maana nikasema idea yangu ni ya graphics designer na si programmer.
.GOOD NEWS: ESE Dictionary sasa inapatika kupitia softpedia.com ESE Dictionary Free Download cc C++
unaweza kufanya ratings na review. please shared news with your friends.
BAD NEWS: Kwa sasa nasumbuliwa na matatizo ya macho.
FREDRICK IHEMBE nimeangalia neno joy nimepata maana 14
View attachment 128990
bofya kwenye hiyo mishale kuangalia maana inayofuata au ya nyuma. pia unaweza kutumia keyboard(left/right arrow keys) au gurudumu la mouse.
swala la maneno kumiss mimi sihusiki nalo. mimi sijatoa maana hata moja. tafadhali jaribu kupitia maelezo kwenye kipengele cha "about" na pitia kile kipengele cha "help" kinaonesha kila kitu.