Intro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Intro

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by St. Paka Mweusi, Sep 3, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Salaams wandugu wakubwa kwa wadogo naomba nami nijitambulishe kama member mpya jinsia yangu ni mwanababa na nipo nje ya nchi kwa kipindi kidogo natumai tutashirikiana na wakati mwingine kupishana kimawazo katika kuendeleza uelewa na upashanaji habari :lol:
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280

  eti eeeh.....haya bana .....karibu sana
   
 3. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Karibu sana....nadhani utafurahi kuona jamii ya Paka mkiongezeka..kuna Pakajimmy..na wengineo
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwa kukaribishwa na usiwe na wasiwasi jamii za paka ni nyingi kuna wengine paka shume kuna wengine paka mapepe basi raha tu :lol:
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Karibu mkubwa yupo mwenzio PJimmy, nasubiri kuuona mtazamo wako!
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Karibu!!!
   
 7. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  ---------

  Mgeni siku ya kwanza....ya pili .... ya tatu ...... ya nne .....

  mengine jazeni wenyewe
   
Loading...