Jamaa kenda kwenye interview. Alipofika akambiwa "wait please" Jamaa akajibu " 75 kg Sir" Wakaona Lugha Gongana haipandi Wakamuuliza Ushawahi kufika Chuo Kikuu Chochote? Akasema Ndio naenda sana Pale Chuo Cha Mlimani na IFM kuchukua Wanafunzi na Tax yangu.