moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,939
Vipanga tunasubir barua za ajira
Oral mnafanya viraza.sisi kama kawa
Fair boss naamini hata cut off marks zinaweza kuwa kubwa maana mtihani umebase Tax tu nadhani yeyote katika course walizoomba wanaweza jibu.mmeulizwa maswali gani mwaka huu?
Oral mnafanya viraza.sisi kama kawa
sasa kwa wale ambao hawakusoma tax mfano evonomics na law wamejibu nin?Fair boss naamini hata cut off marks zinaweza kuwa kubwa maana mtihani umebase Tax tu nadhani yeyote katika course walizoomba wanaweza jibu.
Labda usahihishaji usiwe Fair na Vimemo vihusike kwa sana.
Watakua wametoka kapa"sasa kwa wale ambao hawakusoma tax mfano evonomics na law wamejibu nin?
Mkuu usijidanganye. Watu wanaingia kwa upendeleo tena zaidi ya hata usawa wa JKUsawa wa JPM huu... Hakuna upendeleo pale utumishi.. Na atakayekiuka maagizo na sheria za kuajiri watumishi wa serikali hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app