joanitha07
Member
- Sep 1, 2017
- 7
- 10
Ok wewe ndoo yule wa dagaa wa mwanza nakuona kule fbBaada ya kuona maswali ya interview ya TRA imenilazim kujiunga jf ili nielimike zaid!! Mnipokee tuuu na mnisupport biashara yangu ya dagaa wa mwanza!! [emoji39][emoji39] lov u fam!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakongwe ila ke baby![emoji23] [emoji23]Hata JF kuna utaratibu wa inteview kwa member mpya
CC muosha rungu
[emoji23][emoji23][emoji23] asanteKaribu mkuu japo kuna
majukwaa ukiingia unaweza kusahau jumla mambo ya TRA ukabaki ni kupambana na watu wa MMU na Pm
Vp kwa niliyevamia kam mmHata JF kuna utaratibu wa inteview kwa member mpya
CC muosha rungu
Baada ya kuona maswali ya interview ya TRA imenilazimu kujiunga jf ili nielimike zaidi mnipokee tuuu na mnisupport biashara yangu ya dagaa wa mwanza. [emoji39][emoji39] lov u fam!
Sent using Jamii Forums mobile app