Interview ya lapf hapa duce

Interview ya lapf hapa duce

Gogadi

Senior Member
Joined
Nov 15, 2012
Posts
121
Reaction score
16
Nipo kuanzia saa 1 na nusu hv asubuhi na usaili walisema unaanza saa 2 na nusu...lakini cha kushangaza mpaka mida hii ya saa 3 hv hakuna kinachoendelea...kweli aliyesgiba hamkumbuki mwenye njaa...na kama ajira zenyewe ndo hv waajili badilikeni....cha msingi zingatueni muda na ss tuna mambo mengi mengine ya kudanya jamani...nawasilisha kwa wana jamii kwangu nimeona ni tatizo sijui ww.
 
Vumilia tuu mkuu...kwani anaetaka achoki...
 
Hapo kaz kweli kweli,wanawachomesha mahindi hvyo halaf unakuta nafasi zimeshajazwa na wenyewe,inaumizaga sana!
 
uvumilivu ni sehemu ya interview....hujaajiriwa unaanza kuwatungia sera!!! be careful
 
Wanawekaga CCTV camera hao. Wanarecord each and everything kinachoendelea. Nani mvumilivu nani hayupo serious. So, wakikuona unabinya binya simi kesi hiyo boss.
 
Umesikia kiongozi??
Wanawekaga CCTV camera hao. Wanarecord each and everything kinachoendelea. Nani mvumilivu nani hayupo serious. So, wakikuona unabinya binya simi kesi hiyo boss.

Kiongozi!!!!
 
Nipo kuanzia saa 1 na nusu hv asubuhi na usaili walisema unaanza saa 2 na nusu...lakini cha kushangaza mpaka mida hii ya saa 3 hv hakuna kinachoendelea...kweli aliyesgiba hamkumbuki mwenye njaa...na kama ajira zenyewe ndo hv waajili badilikeni....cha msingi zingatueni muda na ss tuna mambo mengi mengine ya kudanya jamani...nawasilisha kwa wana jamii kwangu nimeona ni tatizo sijui ww.

Ningekuwa mimi ningeondoka kwenda kufanya hayo mengne, na kama LAPF ni muhimu ningeahirisha mengne na kusubiri.
 
Nusu saa tu ushaanza zogo! !!!!

Unapenda migomo wewe rekebisha attitude!!!
 
Nipo kuanzia saa 1 na nusu hv asubuhi na usaili walisema unaanza saa 2 na nusu...lakini cha kushangaza mpaka mida hii ya saa 3 hv hakuna kinachoendelea...kweli aliyesgiba hamkumbuki mwenye njaa...na kama ajira zenyewe ndo hv waajili badilikeni....cha msingi zingatueni muda na ss tuna mambo mengi mengine ya kudanya jamani...nawasilisha kwa wana jamii kwangu nimeona ni tatizo sijui ww.

Acha mbwembwe kama ungekuwa busy ungeacha hiyo interview pili ur not sriaz upo interview venue unashnda jf mkifeli mnasingzia serkali au kuna upendeleo wakat upo jf 24hrs acha vroba vya asubuh
 
Noted na umeeleweka...kazana.
 
Jamani pitieni mada yangu kwa umakini kisha uchangie...huwe pita tu kiongozi au kaa kimiya,,tatizo unakurupuka soma elewa m2 kawasilisha nn na kinatakiwa kitu gani...otherwise u wll endup wth nothing...lol
 
Big up ilisha juniour umeelewa vzr mada yangu...pamoja sana kiongozi uelewa ni kipimo cha maendeleo.
 
Jamani kwa wale wliofanya interview ya LAPF pale duce kuna maelekezo yoyote walitoa baada ya interview kuisha na kuhusu picha vp walikusanya coz mi nilipata dharula niliwahi kuondoka mara baada tu ya kumaliza ili written interview..
 
Utajurishwa kwa njia ile ile uliyoitwa kwenye usaili wa kuandika...so kama wataona unafaa watakuita kwenye usaili wa kuongea...lakini tutegemee lolote kiongozi,,,
 
Tolerance zero..
Psychological endurance none..
Ego above normal range...

Generally; Blood mouthed and emotional
...

Copy n pasted
 
Back
Top Bottom