interview:ungekua wewe ungefanya nini

Mimi ningejidai kupiga simu kwa mke wangu nimwambie hivi, mke wangu imekuwaje ukamwachia huyo mende anazururazurura na unajua binti yako keshokutwa ndo wanaanza mitihani ya upasuaji wa mende. Hebu angalia huyo wa pili kama yumo mle kwenye bahasha usije ukasababisha mtoto akafeli mtihani.
 
Huyo mende ningemfuata na kumchukua ili nimweke mfukoni mwangu asije leta harufu na kutiabua jina langu list ya panel
 
ile kajitokeza tu kidogo,ningemshika nikamtafuna palepale.
Hapana chezea kazi ww,chezea mshahara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom