Mkuu hivi imekaaje kwa wale tusio tumia majina matatu kuwekewa pale katikati ya jina sifuri then ndio jina la mwisho lina fuata..?Salaam!!!!
Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview.
List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4)
Shukran.
Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea.
TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA
Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...www.jamiiforums.com
Kumbe Bado unapambania kombeHaya sasa tupeane mbinu za kufaulu wakuu
Ndiyo mkuu, nipe mbinu za kupata..Kumbe Bado unapambania kombe
1596Mbona orodha ndefu sana kwani TRA wanataka watu wangapi?
Mwaka wako mrembo.we jiandae na kuomba Mungu.Ndiyo mkuu, nipe mbinu za kupata..
Amina ahsante mkuu, wewe hukuomba?Mwaka wako mrembo.we jiandae na kuomba Mungu.
Sijakuelewa hapo kwenye sifuri embu andika hata mfano wa jina tuoneMkuu hivi imekaaje kwa wale tusio tumia majina matatu kuwekewa pale katikati ya jina sifuri then ndio jina la mwisho lina fuata..?
Nafasi wametoa ni kama 1500+ flani walioomba wako 100k flaniMbona orodha ndefu sana kwani TRA wanataka watu wangapi?
Sijakuelewa hapo unaposema sifuri embu andika
Sijakuelewa hapo kwenye sifuri embu andika hata mfano wa jina tuon
Mfano kama bakari 0 Athumani.Sijakuelewa hapo unaposema sifuri embu andika
Sijakuelewa hapo kwenye sifuri embu andika hata mfano wa jina tuone