msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,788
- 9,127
Vip hawakusema majibu watatoa lini?Hongereni wote mliofanya interview! Sasa tusubiri matokeo! Kila rakheri kwa wataofaulu kwa hatua ya oral nk, Na ambao hatutofanikiwa mapambano yaendelee hadi kieleweke [emoji1696][emoji123]
Watu wengi mithili ya mashabiki wa Yanga na Simba
Alafu ww unaonekana ni banker....Maswali karibia yote ni hesabu kuanzia magazijuto hadi mafumbo mkuu😀 nenda tu
Yes am a Banker by profession ila nafanya kazi kama mpishi hotelini, ni maisha tu🤔Alafu ww unaonekana ni banker....
Mmh sikuskia hilo nahisi ni baada ya watu wote kufanya interview Ndyo watashortlist. Ile kwa ule wingi sijui watasahihishaje ama kuna mitambo ya kusaidia kusahisha jamani??? Maana sielewii 🤔Vip hawakusema majibu watatoa lini?
Mmh sikuskia hilo nahisi ni baada ya watu wote kufanya interview Ndyo watashortlist. Ile kwa ule wingi sijui watasahihishaje ama kuna mitambo ya kusaidia kusahisha jamani??? Maana sielewii [emoji848]
UtafanikiwaYes am a Banker by profession ila nafanya kazi kama mpishi hotelini, ni maisha tu🤔
Mmh sikuskia hilo nahisi ni baada ya watu wote kufanya interview Ndyo watashortlist. Ile kwa ule wingi sijui watasahihishaje ama kuna mitambo ya kusaidia kusahisha jamani??? Maana sielewii [emoji848]
Amen ahsante mkuuUtafanikiwa
Kwani na leo tena kuna interview? smhView attachment 1722522
Watu wanaingia uwanja wa vita[emoji16]
Mungu awatangulie wote mpate kaziView attachment 1722522
Watu wanaingia uwanja wa vita[emoji16]
Kwani na leo tena kuna interview? smh
Mungu awatangulie wote mpate kazi
Shukran.... Amina na iwe hivyoMungu awatangulie wote mpate kazi
Tupe ka feed back how was it ? Or how it went ?Shukran.... Amina na iwe hivyo
Sijaitwa wala sihitaji kazi ya kuajiriwa.....Na wewe umeitwa kwani au unapost tu mkuu
Hahaha..nakumbuka NMB walitoaga kazi.ule Uzi ulikua unatembea kweli..Siku majibu yalivyotoka sasa..na Uzi ukaanza kufia hapohapoKwa umoja huu huu wa kusoma na kukoment uendelee hata mara baada ya tokeo kutoka.