Naona mmechanganywa watu kutoka fields mbalimbali, Human resources, Marketing, Statistics, Procurement, Transport and logistics Management, Shipping and logistics management etc etc etc
Ingekua wote mnatoka Transport and logistics management ama Shipping and logistics management, basi ningesema upitie humu :
~Port Operations
~Customs Procedures
~Logistics
~Supply Chain Management
~Inventory Management
~Supply Chain
~Port Security
~Shipping Markets
~Some shipping terms kama wharfage, berth, berthing, demurrage, star board, port side, port etc etc
Lakini sasa mmechanganywa kutoka courses mbalimbali, hivyo nachelea kusema kuwa, ili kuleta usawa lazima kitumike kipimo sawa kwa wote. Kwani wengine hapo hamna background ya port operations.
Hivyo basi, isome sana RESEARCH usiiache iende zake, job description ziwe kichwani pamoja na basic port terms kama wharf, quay, port, types of ships, berthing, wharfage etc etc
Sent using
Jamii Forums mobile app