Interview TPA (Bandari)

Interview TPA (Bandari)

Msaada please aliyewahi fanya interview huko. Mimi nimesoma Bsc. In statistics, lakini sasa tumechanganywa kozi kama zotee yaani.

Msaada msaada nifanyeje, nipeni mwangaza, hii ni first interview
Ila ukifaulu haurudi kutoa shukrani uyoo kwenye V8 dharau kibaoo
 
Naona mmechanganywa watu kutoka fields mbalimbali, Human resources, Marketing, Statistics, Procurement, Transport and logistics Management, Shipping and logistics management etc etc etc

Ingekua wote mnatoka Transport and logistics management ama Shipping and logistics management, basi ningesema upitie humu :

~Port Operations
~Customs Procedures
~Logistics
~Supply Chain Management
~Inventory Management
~Supply Chain
~Port Security
~Shipping Markets
~Some shipping terms kama wharfage, berth, berthing, demurrage, star board, port side, port etc etc

Lakini sasa mmechanganywa kutoka courses mbalimbali, hivyo nachelea kusema kuwa, ili kuleta usawa lazima kitumike kipimo sawa kwa wote. Kwani wengine hapo hamna background ya port operations.

Hivyo basi, isome sana RESEARCH usiiache iende zake, job description ziwe kichwani pamoja na basic port terms kama wharf, quay, port, types of ships, berthing, wharfage etc etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba utusaidie custom procedures mkuu
 
Duuuh walitoa maswali gani mkuu? Samahani lakini.

Mimi nilihudhuria usaili ambao ulikua na maafisa ardhi, maendeleo ya jamii, ict n.k. mimi nilikua kwenye hiyo kada ya maendeleo ya jamii.

Niliongea na jamaa aliyefanya usaili wa ardhi akasema maswali yalibase kwenye land management (Hakuna swali la research hata moja)

Mimi pia sikua na swali la research ila maswali yalibase kwenye ishu kama collaborative decision making, needs assessment, community development project na principles za equity and social justice.

So lilikua ni bonge la chaka baada ya mimi kukomaa na ishu zingine.
 
Hv ajira interview inafanywa na utumishi na kama mmeitwa fani tofauti huwa hawabase kwenye maswali yanayohusiana na hyo kaz uliyoomba hasa kwenye written mtapewa paper yenye maswal ya general kuwa tu mtu wakufatilia mambo muhim yanayotokea kila siku dinian huwa wanatoa had nukuu za magazeti hao nlishawah fanya interview yao tulipewa nukuu ya gazeti la daily news ss kama hukulisoma imekula kwako, nkafanyaga nyingine tukaulizwa mapendekezo kumi ya time ya makinikia,labda kwenye Oral kama utapita written ndo unaweza ulizwa juu ya hyo kaz uliyoomba.
 
Back
Top Bottom