Interview TPA (Bandari)

Kigezo ingekuwa waliosoma Law, acha kutishia raia
  • Kazi inayohitaji kujua sheria haiitaji kuwa Mwanasheria, Ila ni kujua specific law i.e sheria zinazoongoza sekta ya bandari
  • Hata Kazi za TRA za Customs zinahitaji kujua sheria za Customs, lakini Sio Lawyers ndiyo wanaruhusiwa peke yao, Hadi accountants, finance Managers,Watu wa Customs,nk
  • msingi wa hizo Kazi nilizozitaja Hapo juu ni kujua specific laws
 
Naona mmechanganywa watu kutoka fields mbalimbali, Human resources, Marketing, Statistics, Procurement, Transport and logistics Management, Shipping and logistics management etc etc etc

Ingekua wote mnatoka Transport and logistics management ama Shipping and logistics management, basi ningesema upitie humu :

~Port Operations
~Customs Procedures
~Logistics
~Supply Chain Management
~Inventory Management
~Supply Chain
~Port Security
~Shipping Markets
~Some shipping terms kama wharfage, berth, berthing, demurrage, star board, port side, port etc etc

Lakini sasa mmechanganywa kutoka courses mbalimbali, hivyo nachelea kusema kuwa, ili kuleta usawa lazima kitumike kipimo sawa kwa wote. Kwani wengine hapo hamna background ya port operations.

Hivyo basi, isome sana RESEARCH usiiache iende zake, job description ziwe kichwani pamoja na basic port terms kama wharf, quay, port, types of ships, berthing, wharfage etc etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri Sana mwamba
 
Back
Top Bottom