Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,959
- 2,179
Nyongeza :
Jitahidi usikose peni hata saa kama utakuwa nayo. Pengine hata diary au notebook will do. Thanks.
Hebu tusaidiane wakuu unapoingia kwenye chumba cha usaili ukakuta panel nzima ya interview iko pale halafu ukakuta kuna kiti mbele yao utawasalimia tu na kufikia kukaa au utasubiri wao ndio wakupe ruhusa ya kukaa...?
Salimia kwanza then subiri wao wakuruhusu.
Thanks a lot kiongozi.
Sawa kiongozi, hongera naona ushaitwa kwenye interview
Mungu akubarikiHahahaha bado kiongozi ila kama kuna upepo hivi nauona ukija upande wangu ndio najiandaa kuvua shati ili nijaribu kupata hewa mkuu.
Mungu akubariki
Utawasalimia then utasubiri wakuamuru ukae,ukipita ukimya wa dakika moja hawajaniruhusu,nitaomba kuketi.Hebu tusaidiane wakuu unapoingia kwenye chumba cha usaili ukakuta panel nzima ya interview iko pale halafu ukakuta kuna kiti mbele yao utawasalimia tu na kufikia kukaa au utasubiri wao ndio wakupe ruhusa ya kukaa...?
Utawasalimia then utasubiri wakuamuru ukae,ukipita ukimya wa dakika moja hawajaniruhusu,nitaomba kuketi.
Utasalimia kutoka na wakati,kama ni asubuh,mchana ama jioni.Sawa utasalimia mfano umewakuta waliokuzidi umri na vijana uliowazidi umri sasa kwa kiswahili utawasalimiaje?
Utawasalimia then utasubiri wakuamuru ukae,ukipita ukimya wa dakika moja hawajaniruhusu,nitaomba kuketi.