Interview tips

Interview tips

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,815
Reaction score
3,821
Screenshot_20200601-195253.png

Nyongeza :

Jitahidi usikose peni hata saa kama utakuwa nayo. Pengine hata diary au notebook will do. Thanks.
 
Hebu tusaidiane wakuu unapoingia kwenye chumba cha usaili ukakuta panel nzima ya interview iko pale halafu ukakuta kuna kiti mbele yao utawasalimia tu na kufikia kukaa au utasubiri wao ndio wakupe ruhusa ya kukaa...?
 
Utawasalimia then utasubiri wakuamuru ukae,ukipita ukimya wa dakika moja hawajaniruhusu,nitaomba kuketi.
 
Sawa utasalimia mfano umewakuta waliokuzidi umri na vijana uliowazidi umri sasa kwa kiswahili utawasalimiaje?
Utasalimia kutoka na wakati,kama ni asubuh,mchana ama jioni.
Shikamoo haipo hapo.Pia interview nyingi kubwa wanatumia kingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom