Interview Radiation Safety Inspector II (TAEC)(udom CIVE Auditorium)

Hii post hata mm nimekuwa shortlisted [emoji28][emoji28][emoji28]
sem coz kibao zilikuwepo km 15+ mpk watu Mining Engineering..
ilo paper lako cjuiii litakuwaje. nimeamua kuachana nalo nafany sahili nyengine maan zote zipo mda mmoja

kilq la mkuu
 
Umesoma chemistry au biology?
 
Mwaka huu (2025) pia wametoa nafasi 4 za Radiation safety inspector ll (Nuclear Physics). Maswali yapi yanaweza kuulizwa wadau na je Kuna interview ngapi.... Kuna mtu aliniambia pia Kuna practical
 
Tupo wote mkuu kwenye hicho kinyang'ang'anyiro,, kwenye hizo nne 1 yangu 1 yako.
 
CNMS wamefuta Bsc Physics. Hawa wanaoanza mwaka huu yao itaitwa Bsc. In Applied Physics.
 
Benjamin Mkapa pia walitangaza nafasi za kazi za Medical Physicist ll. Nafasi 2 mwaka jana December 20, Hadi Leo ni kimya tu hawajaita Interview, sijui washazipotezea?
 
Back
Top Bottom