Interview na bibie mumu

Interview na bibie mumu

Sasa nikizisema hapa si wataniibia
Anyway, ni UPENDO wa kweli,UTII,Kumjali,kumheshimu na kumpa nafasi yake kama mume(kiongozi wa familia),kujali hisia zake na kizifanyia kazi na MAHABA(hapa ndio nitammaliza stress zake na uchovu wake wooote)
 
Jambo lililonifurahisha kwa wakati Niko Mdogo ni kusafiri pekeangu kwa ndege kutoka mkoa mwingine hadi mwingine niliona wazazi wananiamini kuwa naweza kujismamia mwenyewe,
Duhh....
Hadi nazeeka sijawahi kuchenga mawimbi kwa mkuyati wa chuma...
 
Back
Top Bottom