Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,639
wanawake waliofunga Pm zao sidhani kama interview za huyu jamaa zitawapata.
wanawake waliofunga Pm zao sidhani kama interview za huyu jamaa zitawapata.

Umesemaaa???Nimetoka tu saivi kaka
Hee! Nimeenda kwa shop
Kununua vocha tayari kwa bundle!![]()
![]()
DJ sepetu
Ngoja nisiendeleeNn tena![]()
![]()
DJ sepetu
Unatumia njia gani kufungua au na wewe wamekupa ratiba mda wanaofungua pm zao?Huwa wanafungua
DJ sepetu
Mimi nipo already
Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko singleok.... tueleze historia yako kwa kifupi...
mkoa ulozaliwa...umri(kama hutojali ) , kiwango cha elim, proffession yako , marital status n.k
Sent using Jamii Forums mobile app

Nimependa hapo ulipo singleWell,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single![]()

Upo single kwa maana IPI? ulikuwa nae mmeachana au haijawahi kuwa nae?Well,..nimezaliwa kinondoni DSM Nina miaka 25 Nina diploma ya project planning and management,Niko single![]()
Nimeona fursaKwann![]()
![]()
Nilikuwa nae ila kwa bahati nzuri au mbaya tumeachana,ni mwaka na nusu sasa.Upo single kwa maana IPI? ulikuwa nae mmeachana au haijawahi kuwa nae?
Ha ha haaNimeona fursa